god i am here on your kneel for request of peace on tz. mwenyezi mungu tunaomba amani yako kwa taifa letu tanzania.ninakuja mbele zako nikiomba msaada wako wa amani katika nchi yetu ya tz. bariki uchaguzi huu wa taifa letu kuwe na amani,utulivu,mshikamano na upendo miongoni mwetu sisi.ninaomba kwa jina la bwana wetu yesu kristo ukashushe jeshi la malika wako watakatifu washuke na kuharibu ngome ya mwovu shetani.ninaomba kwa jina la mwana wako yesu kristo ashuke na kugusa kila pembezoni mwa nchi yetu ya tz.kuwe na amni na upendo.ninaomba kwa aya yote nikisema amen.